Gibson, Hannah, Mapunda, Gastor, Marten, Lutz and Taji, Justus (2020) 'Ulinganishi wa mofolojia na sintaksia baina ya lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki [A morphosyntactic comparison of 19 East African Bantu languages].' Kiswahili, 82. pp. 1-13.
Text
- Published Version
Restricted to Repository staff only |
Abstract
Katika makala hii tumewasilisha matokeo ya utafiti wetu kuhusu lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki. Tumeonesha kwamba kuna makundi makuu matatu ambayo yanafanana kiasi cha asilimia 70 au zaidi. Makundi haya yanajikuta katika maeneo mbalimbali ya eneo la utafiti wetu. Kuna kundi la kaskazini, la kati, na la kusini. Tumetumia mbinu maalumu ya kulinganisha mofolojia na sintaksia za lugha hizi, ambayo inatumia vigezo 142 kuelezea kiwangochaufananokati yao.Matokeoya utafitihuuyanaonesha kwambakuna tofauti kubwa bainaya lughahizi.Kiwangochaufananobaina lughahizinikatiyaasimilia45(yaaniuhusiano baina Kikuyu na Kisena) na 80 (baina Kiwabo na Kimakhuwa). Ili kufahamu kwamba kuna makundi maalumu miongoni mwa lugha hizi, tumegawanya lugha ambazo ufanano wao ni chini ya asimilia 70 na zile ambazo ufanano wao ni juu ya asimilia 70. Inawezekana kwamba uhusiano uliopo kati ya makundi haya unaonyesha uhusiano wao wa kihistoria.
Item Type: | Journal Article |
---|---|
SOAS Departments & Centres: | Regional Centres and Institutes > Centre of African Studies Departments and Subunits > School of Languages, Cultures & Linguistics Departments and Subunits > School of Languages, Cultures & Linguistics > Department of Linguistics |
ISSN: | 25462229 |
Copyright Statement: | © TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI 2019 |
Date Deposited: | 06 Apr 2020 14:54 |
URI: | https://eprints.soas.ac.uk/id/eprint/32528 |
Funders: | Leverhulme Trust, British Academy |
Altmetric Data
There is no Altmetric data currently associated with this item.Statistics
Accesses by country - last 12 months | Accesses by referrer - last 12 months |